Habari Kali
Loading...

MIKE ADAIWA KUWA MLINZI WA STEVE NYERERE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Bongo, Mike Sangu amedaiwa kuajiriwa na Steve Nyerere kuwa mlinzi wake kutokana na kutembea naye kila kona.
Staa wa Filamu za Bongo, Mike Sangu
Chanzo cha habari hii kilidai kuwa, baada ya Steve kuachia madaraka Bongo Movie Unity, Mike naye alijiondoa kimyakimya na kuhamia kwa Steve na kuwa mlinzi wake kila anakokwenda.
“Unajua hadi aibu! Steve hata akisogea kwenda kuongea na simu Mike anamfuata na kukaa nyuma yake. Nadhani jamaa atakuwa kamuajiri,” alisema mtu mmoja ambaye hakupenda jina lake litoke gazetini.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere(aliyenyoosha mkono)
Mike alipoulizwa kuhusu madai hayo alikiri kuwa sambamba na Steve kwa sababu wametoka mbali lakini alikanusha kuwa mlinzi wake.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top