Mhariri wa zamani wa gazeti la
Washington Post, Ben Bradlee aliyeongoza uhariri wa kashfa ya Watergate
miaka ya 70 na iliyosababisha Rais Richard Nixon kuachia ngazi
amefariki akiwa na miaka 93.
Ben aliwahamasisha waandishi wawili wa habari Bob Woodward na Carl
Bernstein kufuatilia kashfa hiyo ambayo Rais pia alijikuta akihusika.Habari iliyochapishwa na gazeti hilo baadae ilionekana pia katika filamu na hivyo kumpa umaarufu mkubwa sana mwandishi huyu nguli.
Ben Bradlee hadi anakumbwa na mauti amekuwa ni miongoni mwa watu wanaohesabika kufanya kazi zenye tunu na hasa uadilifu aliouonyesha, Bwana alitoa na sasa amtwaa Amen.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

