Sheik Hasina Wajed ANA miaka 67. Kabla ya kuwa rais wa sasa wa Bangladesh kwa uchaguzi wa mwaka 2009, aliwahi kuwa waziri mkuu mwaka 1996 akaondolewa madarakani kutokana na nchi kukithiri rushwa. Mji Mkuu wa Bangladesh ni Dhaka.
Tarja Kaarina Halonen NI rais wa nchi ya Finland ambayo mji mkuu wake ni Helsinki. Ana miaka 71. Amekuwa rais wa nchi hiyo tangu mwaka 2000 akiuweka vizuri uchumi wake.
Cristina Fernández de Kirchner Alizaliwa Februari 19, 1953. Ni rais wa kwanza mwanamke nchini Argentina yenye mji mkuu unaoitwa Buenos Aires. Aliingia madarakani mwaka 2009.
Dilma Vana Rousseff Ni rais wa Brazil aliyeibuka na ushindi wa asilimia 53 katika matokeo ya uchaguzi Jumapili iliyopita. Ana miaka 67. Ni mwanamke wa kwanza kuwa rais nchini mwake. Mji mkuu wa Brazil ni Brasilia.
Ellen Johnson Sirleaf NI rais wa Liberia, nchi iliyopo barani Afrika.Mji mkuu ni Monrovia. Alizaliwa Oktoba 29, 1938. Ni rais wa kwanza mwanamke Afrika. Aliwahi kuwa waziri wakati wa utawala wa William Tolbert.
Park Geum-hye NI rais wa Korea Kusini, mji mkuu ni Seoul. Ana miaka 62. Aliingia madarakani mwaka jana kwa ushindi wa asilimia 50.6. Nchi yake ikidaiwa kuwa na nguvu kubwa ya kiuchumi na kijeshi, hasa kwenye silaha za nyuklia.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

