BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema.
1.
KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri.
Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri
anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye.
2.
Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze
hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia
zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu
katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda.
Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako.
3.
Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye
kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara
kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye
karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali
4.
Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako
amekasirika kuwa pale kwa ajili yake na ukimpooza kwa sauti ya upole na
mahaba. Utashangazwa sana na kiasi gani msaada huo umeleta mabadiliko
kwake. Hakikisha unamsaidia katika shida zake hapa ndipo kuna tatizo kwa
wavulana wengi. Mapenzi si pesa lakini kuna kipindi ambacho pesa
huitajika kulinda penzi lako. Si msichana anapokuomba pesa ina maana ana
nia ya kukuchuna au amekupendea pesa kuna shida nyingine inabidi
akuombe wewe tena kwa kukupima kama utakuwa tayari kumsaidia.
5.
Mchukue mpenzi wako out mara nyingine itamfanya ajisikie furaha sana
kwa sababu wasichana hupenda enjoyment na boyfriend zao. Hii haitamfanya
mpenzi wako tu kuwa na furaha bali itawafanya nyie kwa pamoja kujuana
na kufahamiana zaidi.
6.
Kuwa muwazi kwake usimfiche jambo linalokuhusu. Msichana hupenda kutoa
ushauri kwa mtu ampendaye hivyo unapokuwa muwazi atajisikia kuthaminiwa
nawe na kukuona umemuamini
7.
Ukijiona upo busy sana usithubutu kuacha japo kumpigia simu mara mbili
kwa siku hata kama ukishindwa kumpigia wakati upo ofisini darasani au
kwingineko hakikisha unapopata nafasi japo ujumbe mfupi wa kumwambia
unampenda.
8.
Mkumbatie mara kwa mara katika tukio la kumbatizi kuna jambo kubwa sana
hutokea. Si kwake tu hata kwako mvulana. Hali ya joto lenu huwaweka
pamoja kifikra hata pale msipokuwa pamoja.
9.
Epuka maugomvi na hasira za mara kwa mara ukiwa nae. Mwanamke hupenda
ustaarabu kwa mtu ambaye yupo serious naye hivyo ukionesha hasira kabla
hata hujamtongoza unaweza ukamkosa msichana hivihivi wasichana huwaogopa
wavulana wenye hasira na wagomvi kwa sababu hupenda kubembelezwa.
10.
Mdekeze. Msichana anapenda kudeka anaenda kudeka sana na kubembelezwa
sana hivyo mvulana ukidekewa usikasirike eti huyu msichana kazidi wewe
ndio wakati wako wa kumuonesha msuchana wako unampenda mdekeze mpaka
aone aibu kudeka siku nyingine. Wasichana wameumbwa kwa jili ya wavulana
ndio maana hudeka hii ndiyo silaha pekee na ya mwisho kumpata msichana
hata kamasi wako ni wa rafiki yako unaweza ukatumia silaha hii kumpora
msichana huyo kwa mwenzio usipojua kudekeza utaachwa pia.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Sunday, 26 October 2014