Sehemu ya gari ilipogongwa.Pembeni ni uzio wa magari uliowekwa na kamapuni ya Strabag.Umati wa watu wakiwa eneo la ajali
MAMA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja,
amenusurika kifo baada ya gari lake aina ya Toyota Cresta, kukogwa na
gari kubwa maeneo ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea jana, wakati mama huyo akiwa anatokea maeneo ya River Side na kukata kona ya kuelekea Mbezi Kimara, ndipo gari kubwa likamkwangua sehemu ya taa ya nyuma, haikufahamika haraka nani alikuwa na makosa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >