BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TENDO LA NDOA:
Wataalamu wameandika mengi kuhusu umuhimu wa kutoshelezana kwenye tendo
la ndoa, hivyo sipendi kueleza mengi lakini pengine nijazie kwa kusema
kuwa
mazungumzo
juu ya kuridhishana na sehemu muafaka za kusisimuana ni vyema yakapewa
kipaumbele ili kila upande uhudumiwe na kufurahia tendo ipasavyo.
KUAMBATANA:
Tumeangalia dondoo inayoelezea umuhimu wa wapenzi kuambatana kwenye
matembezi yao, lakini sehemu hii tunaelezea umuhimu wa kwenda kwenye
manunuzi ya mahitaji mkiwa pamoja. Kitendo hiki hujenga mapenzi kwa
kiwango cha juu na huchochea hamasa ya kila mmoja kujiona ni sehemu ya
mwenzake.
KUSHIKANA:
Mnapokuwa kwenye matembezi yenu ya jioni, mnashauriwa kuwa na tabia ya
kushikana mikono au sehemu nyingine yoyote ya mwili. Kitendo hiki hufuta
hisia za kuoneana aibu mbele za watu na huongeza uaminifu kwa wapenzi.
TENDO ALILOTAKA KUTENDA:
Ikiwa mwenza wako aliwahi kukuambia kuwa anakusudia kufanya jambo
fulani, unachotakiwa wewe ni kujiandaa kwa upande wako na kulifanya bila
kumwambia.Kwa mfano, “Mpenzi wangu niliwahi kusikia unataka kununua
kabati la vyombo, tayari lipo ndani kwetu.”
SIKILIZA: Kusikilizana
ni jambo muhimu. Mpenzi wako anapokuambia kitu unatakiwa kumsikiliza,
ni vibaya kuwa na maamuzi ya upande mmoja kwani utamfanya mwenzako
ajisikie vibaya hasa pale anapokushauri jambo zuri lenye manufaa kwa
maisha yenu halafu wewe usilitende.
KULA PAMOJA: Kitendo
cha wapenzi kuamua kutoka na kwenda kwenye mgahawa kula chakula cha
jioni pamoja huchochea hisia za mapenzi. Mbali na hilo, jenga penzi lako
kwa kupendelea kula chakula na umpendaye.
KUTAZAMA PICHA: Inapendeza
sana wapenzi wakitafuta sehemu tulivu na kutumia muda wao kutazama
picha zao za utoto au zile walizopiga mwanzo wa penzi lao na
kukumbushana hali ilivyokuwa wakati huo. Kusema kweli ni kitendo
kilichothibitika kuchochea hamasa za mapenzi.
KUHUSU CHAI: Chai
ya asubuhi ya wapendanao ni vyema ikanywewa chumbani, hasa kama wote ni
wafanyakazi au mmoja wao. Usiulize kwa nini isiwe sebuleni, ni kwa
sababu ya kutoa fursa ya kuhudumiana kwa ukaribu na uhuru zaidi kama
wapenzi. Ila kama wapenzi hunywa chai ya kifamilia si vibaya wakiungana
na jamaa zao, ila wakakaa karibu.
KUCHANGIA FARAGHA: Kuna
mambo mengi yanayohusu faragha za wapenzi, hivyo ni vyema kuwa na
desturi ya kushirikishana na kuyachangia kwa pamoja. Mfano kutazama
video za mapenzi, kuelimishana kuhusu mitindo na mambo ya siri.
MIRADI YA PAMOJA: Mnapokuwa
wapenzi mnaoaminiana ni vizuri kuwa na miradi na mipango ya kimaendeleo
ya pamoja na ikiwezekana ushirika wenu uwe wazi ili kuufanya kila
upande ujione ni sehemu ya mafanikio. Haifai mwanaume au mwanamke
kuendesha maisha yake peke yake (kujenga nyumba, kununua kiwanja), bila
kumshirikisha mwenzake.
KUKUMBUSHANA: Kichocheo
kingine cha mapenzi ni kuwa na tabia ya kukumbushana mambo yenu ya
zamani. “Unakumbuka ulipokuja kunitorosha siku ile usiku, halafu
tukakutana na baba?” Kifupi kumbukumbu huleta hali ya mtu kujitambua
alikotoka na aendako, kukumbushana huko kusiwe kwa mambo ya zamani tu
bali kwa kila jambo linaloonekana kusahaulika na upande mmoja.
KUOGA PAMOJA: Wapenzi
wengi hupuuza sana tendo la kwenda bafuni kuoga pamoja, wanawake wengi
hudhani kuwa kumpelekea mume wake maji bafuni au kumuandalia taulo
inatosha, hapana! Kwa kadiri muwezavyo pendeleeni kuoga pamoja, kwani
kuoga pamoja husaidia kujenga hisia za kimapenzi.
KUBEBA PICHA YA MWENZA WAKO: Inafahamika
kuwa wanaume hubeba ‘waleti’ na wanawake huwa na pochi ambazo wataalamu
wanashauri ziwe na picha za wale wanaowapenda, si kwa faida yao lakini
ni ya wapenzi wao ambao hutajwa kujisikia vizuri wanapotambua kuwa
wamepewa kipaumbele kwa kuwekwa kwenye waleti au pochi.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Sunday, 12 October 2014