BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!
Mhhhh!
Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua
angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa
binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea
Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya
simu.
Mungu
si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa
namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala
ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na
nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby
face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia
ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu!
Pia
alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie.
Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku
nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama
wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….!
Katika
urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma
Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa
ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu
nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia
mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa
walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa
rasmi mpenzi wa Fulani.
Kukubaliwa
huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi
wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu
siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga
baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo.
Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa
nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa
anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa
hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie
kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa
mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela
niende hospitali.
Nimegeuzwa
----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale
aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima
kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu
ya mwenzake. Kama umesoma “Critical Thinking and Argumentation” inabidi
uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda
ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo.
Nikijiangalia
mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu
hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi
siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba
haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia
simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada
ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo
midogo.
Papuchi
sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao
nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu
limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi
hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela
zangu.
Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 23 October 2014