Haijakaa poa! Katika kuonesha kwamba anakwenda na fasheni za mambele, staa wa sinema za Kibongo, Husna Idd ‘Sajent’ amezua balaa baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri hivi karibuni katika sherehe moja kwenye Ukumbi wa Dar West uliopo Tabata, Dar ambapo Sajent alikuwa ametinga gauni ambalo liliacha wazi sehemu ya matiti na mapaja.
Kufuatia kigauni hicho, baadhi ya watu walibaki wakimshangaa na kumzungumzia huku wakijiuliza kwa nini alitinga kigauni hicho lakini mwenyewe aliendelea na yake.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >