Habari Kali
Loading...

KINANA AMTEMBELEA BALOZI KOMBO WA SHINA LA CCM TANGA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Balozi wa Shina la CCM namba 1, jijini Tanga, Kombo Mbwana akiwa haamini macho yake alipokuwa akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyemtembelea balozi huo nyumbani kwake ambapo watu waliokuwa kwenye msafara walipata mlo wa mchana juzi. Kinana amehitimisha ziara ya siku 11 mkoani Tanga, ambapo alisafiri zaidi ya Km 3000, kukagua miradi 72 na kuhutubia mikutano 76 katika majimbo yote 11 ya mkoa huo. Kinana akizungumza na wananchama wa CCM nyumbani kwa Balozi Kombo Mbwana jijini Tanga.Kombo Mbwana amekuwa balozi kwa miaka 50.Balozi Kombo akimzawadia Kinana kanzu, Balakashia na Mswala.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top