Habari Kali
Loading...

JE Aunt Ezekiel Ni Mama Kijacho (MJAMZITO) ? Check Photo Yake Hii Na Maneno Then Utaelewa.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Aunt Ezekiel akimlisha keki JB 

Picha ya Aunt Ezekiel kwenye Instagram imeibua mjadala huku mashabiki wake wakisema ni mjamzito.

Picha hiyo ya Aunt Ezekiel ilipigwa katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.

Hivi ndivyo baadhi ya mashabiki wake walivyoandika:

Ayshasunshin : Your pregnancy congratulations

Mrkhalfan1: haaa we una mimba na hilo bonge lenye miwani pia lina mimba.hapana chezea

Ney_mike: Jamani Dada, matusi yote ulokuwa unaporomosha juzi kumbe una kiumbe tumboni? Pls love usifanye hivyo tena mpenzi tunafundishwa kuwa watoto wanasikia kila kitu wakiwa tumboni na kukifunza. Hata wakikutukana don mind them mpenzi wangu wala usijibizane nao binadamu ndivyo tulivyo. Nakupenda Sana aunt Mungu akuzidishie maisha

Jweekendy_girl: Mbona km mama kijacho Aunty Ezekiel katoto ndo katazidi kuwa kazuri jamani tuletee tu aunty

Mamibeuty: Wow mum kijacho look gud my dia congrlnt

Florencia_sebakala: Kitumbo kimekupendeza
     Khadijamohamedi: Hapana chezea mama kijacho,ulipendza xna

-tubongetz
   

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top