Habari Kali
Loading...

HUU NDIO UDHIBITISHO WA KUFA RASMI KWA PENZI LA JAY DEE NA GADNER

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Huku wakiendelea kugoma kuwa wameachana siri

ya ndani ambayo inazidi kufumuka kwa mastaa
wawili ambao wemetengana kinyumba ambao ni
mwanamuziki Judith Wambura’Lady Jay Dee’na
mtandazaji kiwango Gardner G Habash.
Taarifa za hivi zinaeleza kuwa Jaydee ameanza
kumfuta Gardner kwenye urithi wa mali
mbalimbali ili baadae wasije kuleteana shida
kwenye mgao.
Chanzo cha ndani kinasema kuwa tayari Jaydee
ameshauza nyumba moja huko kimara na ula
mgahawa wa Nyumbani Lounge ambao
aliutangaza kuufunga sasa anaufungua kwa jina la
Mog Bar& Reutsaurant
“Kiukweli ni kwamba hawa jamaawameachana
rasmi ila hawataki hili lijulikane kwa upande wa
Lady Jaydee ameanza kulihakiki mali zote
walizokuwa wakishea na Gadner kwa ajili ya
kuzipa umiliki wake,tayari nyumba moja
wameshauza na sasa amekodi upya ule mgahawa
wa Nyumbani Lounge na utaanza kazi rasmi”
chanzo hicho.

   

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top