Habari Kali
Loading...

CHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu leo.


...Akielekea kwenye 'karandinga' tayari kwa safari ya Segerea.
...Akiingia ndani ya 'karandinga'  mara baada ya kuahirishwa kwa kesi yake.
Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya, vifaa vya kutayarishia, uvutaji wa madawa, usafirishaji na utumiaji wa madawa hayo ambayo alikamatwa nayo kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Novemba 23, 2014.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi  Novemba 11 mwaka huu na msanii huyo ametupwa rumande  kwa kukosa wadhamini.  Hata hivyo, atarudishwa kesho kukamilisha taratibu za dhamana ambapo wadhamini wawili walitakiwa kutoa Shs. Milioni moja kama bond. 

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top