Habari Kali
Loading...

Breaking Newzzz! Madansa wa DIAMOND watiwa Mbaroni kwa kuvaa Sare za JWTZ

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo na wapo Kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.
Wakati huohuo polisi  wanaendelea kumtafuta bosi wao, Nasibu Abudul ‘ Diamond Platinumz’ kwa mahojiano naye kwa kuvaa sare za Jeshi hilo katika Tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika Leaders Club, Dar usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita.
Meneja wa  Diamond, Babu Tale, hakupatikana kuzungumzia suala hili, juhudi za kumtafuta zinaendelea.
sare

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top