BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mwanamuziki
wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz (kushoto) akizungumza na Ofisa Uhusiano wa
Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) huku mdada flani kutoka
Airtel akiwasikiliza.
Makomandoo wa kibega wakinogesha katika uzinduzi huo.
Msanii wa filamu za Kibongo, Irene Paul, akifurahia burudani zilizokuwa zikiendelea.
Ommy Dimpoz akibadilishana mawazo na mwanamuziki mwenzake wa kizazi kipya, AY.
Meneja Masoko wa Airtel, akielezea mchakato wa shindano hilo utakavyofanyika.
Ommy Dimpoz akikamua.
Mshereheshaji
katika hafla hiyo, Ephrahim Kibonde, (kushoto) akionesha headphones
baada ya kutangaza shindano la kuimba kwa waliohudhuria hafla hiyo ya
uzinduzi. Kulia ni wadada warembo waliokuwa wakiwahudumia wageni
waalikwa.
Mwandishi Mwani Nyangasa akiimba wimbo wa Christian Bella uitwao “Nani kama mama”.
Jamaa maarufu kwa jina la Moko Biashara akiimba kuwania zawadi ya headphones.
Mdada huyu raia wa Kenya nae akionesha ushindani kuwania simu hiyo.
Irene Paul nae akitupa karata yake.
Majaji ya mpambano huo, Lady Jaydee na AY wakifutilia kiumakini kila mmoja anavyoimba.
Mwisho wa yote Moko Biashara ndiye aliyeibuka mshindi na kukabidhiwa zawadi ya headphones.
KAMPUNI ya Simu za mkononi ya Airtel, usiku wa kuamkia jana ilizindua
shindano liitwalo Airtel TRACE ambapo mtumiaji wa mtandao wa Airtel
atatakiwa kupiga namba
0901002233 na kuimba nyimbo zake kupitia kwenye simu yake ambazo zitasikilizwa na majaji.
Akizungumza kwenye uzinduzi huo uliofanyika ukumbi wa High Spirit,
uliopo Jengo la IT Plaza, Posta jijini Dar, Meneja Masoko wa Airtel
Tanzania, Aneth Muga, alisema mshindi atakayepatikana hapa nchini
atakwenda kushindanishwa na washindi wengine kutoka nchini 13 za Afrika
ili kumpata mwimbaji bora wa Afrika.
Mshindi atakayepatikana barani Afrika atakwenda kuungana na msanii nyota wa Marekani Akon na kupiga nae kazi.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Wasanii
Sunday, 5 October 2014