Wakati
wa kufanya Tendo la ndoa hutakiwi kuwa umetoka kufanya mazoezi ukaingia
kwenye tendo la ndoa, unatakiwa uwe umetulia na kupumzika vya kutosha
ndipo uingie kwenye mapenzi, hii itakusaidia wewe kuwa na nguvu za
kutosha.
Pili
tunakula sana vyakula vya mafuta na sukari bila kufanya mazoezi ya
kuyeyusha mafuta na sukari mwilini, na ndio maana vijana wa sikuhizi
huchoka sana hata kutembea tu inakuwa shida sana.. Sisi zamani tulikuwa
tunauwezo wa kutembea mpaka KM 30, bila kuchoka ila kijana wa sikuhizi
KM 5 tu anataka apande Daladala. kwahiyo mazoezi muhimu sana ili
kuujengea mwili nguvu na uwezo kiafya.
Kuhusu
kurudia Round ya pili inasababishwa na kuchoka na pamoja na kuto iandaa
psycholojia yako kimapenzi pamoja na kutaka kufanya mambo hayo
harakaharaka, na ndio maana wewe unashindwa kurudia tena.. Unatakiwa
upumzike mpaka dakika 30, kabla hujaanza round ya pili na hutakiwi uwe
na mawazo mengine zaidi ya kazi iliyo kupeleka hapo mahala husika.
Takwimu
zinaweza kukushangaza kwamba zaidi ya Robo (25%) ya wanaume duniani
kote husumbuliwa na tatizo la kuwahi kupizi wakati wa tendo la ndoa!
Sababu
ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni
moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.
Jenga tabia ya kufanya mazoezi:
Mwili
wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha
kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea
afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya
basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye
swala zima la kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na kuongeza
kujiamini na kujihusudu.
Pumua vizuri na kikamilifu:
Kiungo
chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo
ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa
ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za
kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia
kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa
ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano.
Mshirikishe mwenzako kikamilifu:
Kuridhika
kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili
kujifunza kujizuia kukojoa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako
wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila
unapohisi unataka kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza
shughuli zote kwa muda kidogo.