BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Awali
nilikuwa nikidhani kuwa kila mwanamke anapaswa na anafahamu jinsi ya
kujisafisha ndani ya uke mara tu baada ya kuondolewa bikira (kuanza
mahusiano ya kimapenzi na hatimae ngono), lakini nimekuja kugundua
ukweli kwamba wanawake wengi hawajui uke unasafishwa vipi?
Baadhi
huofia kuwashwa na sabuni na wengine hudhani utokwaji wa utoko ni
kawaida hivyo hawana budi kuacha kama ilivyo na badala yake hutumia
“pads” ndogo au “wipes” zenye manukato ili kuzuia harufu/shombo ya uke
na vilevile kuzuia uchafukwaji wa “vyupi” vyao.
Huitaji
kuficha(Bali punguza) harufu ya asilia ya uke kwa kutumia bidhaa zenye
mahukato hasa ukiwa na mpenzi wako kwani hiyo harufu ndio uanamke
wenyewe na ikikutana na ile ya kiume ndio raha ya kufanya mapenzi na
ikiwa mpenzi wako ni“aliyejaaliwa” atakuwa akiipenda harufu hiyo na
hubaki akilini mwake hali inayoweza kumfanya akupende zaidi au kutoweza
kufanya ngono na mtu mwingine bali wewe.
Hujawahi
kusikia wanaume wanashindwa kutoka (date) wanawake wengine baada ya
wapenzi wao kufariki dunia? Au mwanaume kushindwa kuendelea na maisha
yake ya kimapenzi bila wewe na matokeo yake hata mkiachana lazima
atarudi tu kwako….sababu moja wapo ni hiyo.
Kujiswafi ili kupunguza ukali wa shombo/harufu ya uanamke:
Utoko hujikusanya ikiwa mwili umetulia (usiku) hivyo hakikisha unajisafisha kila asubuhi kabla hujaanza kuoga.
Kwa
wale tunaoishi Bongo wengi tunatumia maji ambayo usalama wake ni wa
utata, sasa ili kuepuka maambukizo hakikisha maji ya kujisafishia sehemu
zako za siri yamechemshwa vizuri. Unaweza kutenganisha maji ya kuoga na
ya kusafishia uke ukitaka.
*Kabla
hujaguza uke wako hakikisha umesafisha mikono yako vizuri kwa sabuni
(ukiweza tumia sabuni yenye dawa) na wakati huo huo pitisha sabuni juu
ya uke wako ili kuondoa vijidudu kama vilikuwepo, safisha mahali
hapo(juu ya uke kwa maji na hakikisha hakuna sabuni).
*Kisha
kwa kutumia kidole chako cha kati, ingiza taratibu pale ambapo uume
unaingia, kwa kuanzia huitaji kwenda mbali sana. Zunguusa kidole hicho
taratibu huku ukijimwagia maji kwa kutumia mkono wa pili, kisha kitoe
(kitatoka na weupe mzito) safisha kidole na maji yako.
*Rudia
tena na sasa kiingize ndani zaidi na ukizunguushe tena (huku
ukijimwagia maji) na kukitoa utaona “utoko” mwingi zaidi kidoleni, rudia
hatua hizo mpaka uhakikishe kidole kinatoka bila weupe(utoko) na
utahisi hali ya usafi, hakuna utelezi.
Unapojimwagia
maji ukeni huku kidole kiko ndani maji huingia pia ukeni na ndio maana
mwishoni kabisa utahisi umesafishika vema kabisa na utoko huo hautotoka
tena siku nzima na uke wako hautokuwa na shombo kali kama ambavyo siku
zote ambazo ulikuwa hujisafishi.
Kwa
wale wanaotumia “bath” au “shower” unafanya kama nilivyoeleza ila
tofauti ni kuwa maji yataingia vizuri zaidi ikiwa unapata “bath” hivyo
hakikisha “bath” sio ya kuchangia, maji ni salama(safi), usiweke sabuni
(bath cream) au bidhaa yoyote yenye kemikali kwenye “bath” yako ili
kuepuka matatizo ya kiafya na maambukizo mengine.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Wednesday, 10 September 2014