Sakata
la mtoto aliyezamia ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, Karine
Godfrey (ambaye sasa imefahamika kwa jina la Happiness Rioba )limechukua
sura mpya baada ya mama yake mzazi, Sara Zefhania kujitokeza na kusema
kuwa mwanaye hakupanda ndege.
Akizungumza
na gazeti hili jana, Zefhania ambaye ni mkazi wa Mkokozi Wilaya ya
Mkuranga Mkoa wa Pwani alisema Karine hakupanda ndege ila alipotea.
Alisema mtoto huyo ana tatizo la kutoweka nyumbani katika mazingira ya kutatanisha na kwamba hata safari hiyo ilikuwa na utata
Alisema
kuwa hata majina aliyotumia siyo majina yake halisi kwani anaitwa
Happines Rioba na kwamba hakupanda ndege isipokuwa ni yale mazingira
yake ya utata ambayo amekuwa akitumia.
Alifafanua
kuwa tabia hiyo ya kutoweka kwa mtoto ilianza mwaka 2010 ambapo
alitoweka nyumbani kwa kipindi cha mwezi mmoja na alipatikana mkoani
Mwanza akiwa katika mazingira yasiyoeleweka.
Aliongeza
kuwa madai ya kusema kuwa alisindikizwa na dada yake kwenda kupanda
ndege siyo ya kweli ila ni yeye mwenyewe kutokana na tabia hiyo ya
kutoweka na kwenda kusikojulikana.
Alisema
mwanaye huyo amekuwa akitoweka nyumbani mara kwa mara kitendo ambacho
kinafanya maendeleo ya shule kuwa mabaya na wakati mwingine amekuwa
akirudishwa darasa.
Alisema
kwa kipindi chote tangu atoweke nyumbani alikuwa akimtafuta sehemu
mbalimbali bila ya mafanikio na kwamba jana (juzi) alipata taarifa kuwa
mwanaye ameonekana Zanzibar kuwa alionyeshwa katika ITV.
Aliongeza
kuwa anapotoweka huwa anatoa taarifa Polisi na kwamba anasoma darasa la
pili katika Shule ya Msingi Kelezange iliyopo Kitunda na siyo Shule ya
Jitihada kama alivyodai mtoto huyo.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


