BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Mchizi siku hizi kaibukia kwenye ulevi na mambo yasiofaa
mwandishi wetu alimuibukia katika onesho la Kundi la muziki wa kizazi kipya
la TMK Wanaume Family.Man X akiwa na ‘kidosho’ wake walianza kuonesha
dalili za kufanya uchafu huo majira ya saa tatu usiku ambapo walikuwa
wakikandamiza bia ‘kwa kwenda mbele’ huku wakikumbatiana na kupeana
mabusu motomoto hadharani kiasi cha kuwafanya watu waliokuwa
wakiwatazama kupigwa na butwaa.Mashuhuda waliokuwa eneo hilo walidai
kuwa majira ya saa 8 usiku, Man X na demu wake walitoka nje ya ukumbi na
kuingia kwenye gari yao ndogo aina ya Toyota Baloon yenye namba za
usajili T 558 AJG huku wakiwa hoi kwa kilevi.“Walipoingia ndani ya gari,
walifunga milango na kushusha madirisha kidogo, kisha kuanza kupeana
‘malavidavi’ ya nguvu,” alisema shuhuda mmoja.Baada ya kumaliza
walichokuwa wakikifanya huku wakiwa ‘hoi bin taabani’, wawili hao
walijikuta wakichukuliwa na usingizi mzito huku wakiwa wamekumbatiana
kwa pozi za kimahaba (kama inavyoonekana pichani ukurasa wa
mbele).Kufuatia kuchukuliwa na usingizi mzito, baadhi ya ‘wahuni’
walianza kulizengea gari lao ili kuwafanyia kitu mbaya, ambapo walikomba
simu na kuzamia gizani kwani wasamaria wema na walinzi walifika eneo
hilo.Ilichukua muda kwa wawili hao kuzinduka, walipoamka walianza
kulalamika kuwa walikuwa wameibiwa simu, hali iliyowafanya kuonekana
‘kudata’ na kuamua kuondoa gari kwa kasi huku wakiwaacha watu wengi
wakiwashangaa kwa uchafu waliokuwa wakifanya ndani ya gari. Man X ni
msanii anayetokea kwenye familia ya kilokole na amewahi kutamba na
nyimbo zake kama vile Mimi na Mpenzi na Nilichezea Bahati ambao
alimshirikisha msanii Abdul Syakes ‘Dully Sykes’.Hii ni mara ya pili kwa
msanii huyo kulewa chakali na kufanya madudu ndani ya gari
yake.Mwanzoni mwa mwaka huu msanii huyo aliwahi kuporwa fedha, simu,
redio ya gari na vitu vingine baada ya ‘kuzimika’ ndani ya gari katika
baa moja iliyopo Sinza, Mori jijini Dar es Salaam.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Wasanii
Thursday, 11 September 2014