BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mwanamke
mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika tumbo
lake baada ya kufanyiwa oparesheni kubwa ya upasuaji na madaktari
bingwa.
Madaktari wanasema alikuwa na hofu kubwa ya kuona madaktari kwa sababu ni nusu kifo ilikuwa ni kufa au kupona.
Alikaa na tumbo hilo kwa miaka 47 na lilikuwa likizidi kuvimba siku hadi siku ni mara 20 la tumbo la kawaida.
Wataalamu
wanasema kwamba haijulikani kama atapata nafuu ya haraka na moja kwa
moja ila baada ya oparesheni uzito wake ulipungua kwa kasi.
Mwanamke
huyo raia wa Czesh alikuwa na takribani mawe sita ambayo yalioonekana
na kutolewa kutoka kwenye tumbo lake na ukubwa wa tumbo ulikuwa mara
ishirini la tumbo la kawaida.

Mwanamke huyo alifanyiwa oparesheni ya kuokoa maisha yake katika hospitali ya mkoa wa Zlin mwezi uliopita.
Ilichukua upasuaji wa zaidi ya saa saba kuondoa ukuaji ambao ni zaidi ya mita moja katika mduara wa kipimo cha kawaida.
Zdenek
Adamik , mkuu wa Idara ya masuala ya uzazi na magonjwa ya wanawake
katika hospitali hiyo, alisema madaktari walikuwa walishangazwa kwa nini
mwanamke huyo akutafuta msaada wa matibabu mapema.“Ni ajabu kwamba
familia na marafiki wa karibu hawakuweza kupeleka taarifa katika mamlaka
za utabibu mapema au kuguswa na matatizo ya mama huyo,” alisema mkuu
huyo wa idara.

Chupa za Damu zilizotumika kumwogezea Damu mama huyo wakati wa Oparesheni iliyodumu masaa saba.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Matukio
Tuesday, 9 September 2014