BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Kama
kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la
ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye
ndoa hubakwa na waume zao kila siku.
Kubakwa
huku kunatokana na ukweli kwamba wanawake wengi hulazimika kukubali
kufanya tendo la ndoa na waume zao kutokana na mazingira mbalimbali
yaliyo nje ya upendo.
Kuna
ndoa nyingi ambazo zimekufa, ingawa wanandoa wanaishi pamoja. Zimekufa
kwa sababu hazina mawasiliano kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba, watu
hawa wanakutana kimwili na pengine kuzaa watoto. Kwa sehemu kubwa kwenye
ndoa za aina hii, wanawake huwa hawako kwenye ukamilifu wao kimawazo.
Mara
nyingi athari huwa ni kwa wanawake kwa sababu wao kimaumbile huishi
kihisia. Kutokana na kuathirika kimawazo hamu yao ya kushiriki tendo la
ndoa nayo hupotea.
Kwa
kuwa hawana hamu ya kushiriki tendo la ndoa, waume zao wanapowaambia,
‘geuka huku’ (hawaongei zaidi ya hapo kwa sababu hakuna mawasiliano),
hufanya hivyo. Na hufanya hivyo huku wakiwa hawataki.
Sio
wengi wanaoweza kukataa kwa sababu hawakulelewa katika mazingira
yanayoweza kuwafanya wakatae. Wamelelewa kwenye mazingira ambayo
yamewaambia, miili yao hawana haki nayo mbele ya utashi wa waume zao!
Ukiacha
mawasiliano kuna ndoa ambazo wanaume ni Malaya sana, walevi, au
wapigaji. Kwenye ndoa za aina hii unaweza kukuta mwanamke bado
anaendelea kuwepo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ya utegemezi au watoto.
Pamoja na kuendelea kwao kuwepo, hamu ya tendo la ndoa na waume zao
nayo inakuwa haipo
Lakini
mwanaume hatakiwi kunyimwa mwili wake anapouhitaji. Kwa hiyo,
kinachotokea ni mwanamke kufanya mapenzi kwa kujilazimisha au
kulazimishwa..
Kuna
kesi nyingi ambapo tumesikia juu ya wanaume kuwauwa wake zao kutokana
na kuwakatalia unyumba au wakiwa wanapigana baada ya mwanamke kukataa
kushiriki tendo la ndoa.
Kwenye
ndoa nyingi wanawake hubakwa, yaani hushiriki tendo la ndoa bila hiyari
zao. Hulazimishwa au hujilazimisha kutokana na nafasi ambayo jamii
imewapa.
Ni
kwa nini basi tunapozungumzia kubaka tusiwaambie wanawake na kuwashauri
wawe macho na ubakaji huu ambao una athari kubwa kwao na kwa jamii
wakiwemo watoto wanaozaliwa kwenye ndoa hizi za kibabe?
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Monday, 8 September 2014