BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mtandao nchini Kenya wataja members wa Freemason Kenya na Tanzania…Jacquelin Wolper pia atajwa
Inawezekana
kila kitu kina wakati wake, kuna muda watu walikuwa wakisikia neno
‘Freemason’ ama ‘Illuminate’ kama inavyojulikana nchini Kenya wengi
walikuwa wanaiona ni habari kubwa, lakini kwa sasa hivi inaweza
kuchukuliwa kama sio big deal.
Sababu
ni ile ile kuwa wengi wanaoendelea kwa haraka ama kuwa juu katika kile
wanachokifanya basi utasikia huyo ni member wa Freemason, kwa upande wa
Marekani wanasema ‘he/she just sold her/his soul to the devil’. Japo kwa
upande wa Marekani wapo wanaokiri kufanya hivyo kweli, ila kwa Africa
Mashariki hakuna msanii aliyewahi kukiri.
Lakini
yote hayo ni kama yanakanganya na kuonekana kama hayana mantiki hasa
pale ambapo vithibitisho vya kinachoongelewa huwa havileti mantiki ya
moja kwa moja. Pengine watu wanatafuta pesa kwa bidii na kumuomba Mungu
lakini kwa kuwa kwenye mstari wa juu wanajikuta wanahisiwa kuwa member
wa secret society (Freemason). Oh..au labda ndo vile kwa upande mwingine
lisemalo lipo na kama halipo laja !
Tunathubutu kuziita blaa blaa kwa upande mwingine, lakini tukiweka kwenye mabano kuwa inaweza kuwa na ukweli, who knows!
Mtandao
wa malimwengu wa nchini Kenya huenda ukawa na mfano mzuri wa kile
nilichokitaja hapo juu, mtandao huo kupitia mwandishi wake imetaja
majina ya wasanii wa Tanzania na Kenya wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa
Freemason, lakini kizuri zaidi ni kwamba mtandao huo umejaribu kuonesha
vithibitisho na kushindwa kupata jibu la moja kwa moja kwa nini wasanii
hawa wamekumbwa na hili. Inabaki hivyo hivyo kuwa tetesi tu.
Hawa ni wasanii waliotajwa na maelezo yanayowahusu:
TANZANIA:
1.Naseeb Abdul Jumaa (Diamond Platinum)

Picha
aliyopiga mwaka jana akiwa na mzungu anaeaminika kuwa ni moja kati ya
viongozi wa Freemason wakiwa wameweka pozi na kuonesha ishara
inayooaminika kuwa ni ya Freemason, na kwamba alipoulizwa yeye alisema
hakufahamu kama alikuwa anaelekezwa kupiga picha kwa pozi la
ki-freemason. Kwa mujibu wa mwandishi anaona inaweza kuwa kweli kwa
sababu anaonekana kuenjoy!
2.Ali Kiba

Iliwahi
kusemekana pia kuwa Ali Kiba ni Freemason, na wewe pia unaweza
kufikiria sababu kwamba eti alikuwa maarufu sana na baadae kufifia.
Maoni ya mwandishi (Hakuna uthibithibisho/ushaidi unaoweza kuwekwa thidi
yake).
3.Jacquelin Wolper

Ni muigizaji maarufu wa kike mtanzania. Maoni ya mwandishi ( Hakuna ushaidi, tetesi peke yake hazina umuhimu)
KENYA:
1.Camp Mulla

Maoni
ya mwandishi (Hapana, sio kweli. Sababu ya kufanikiwa kwenye muziki
haimaanishi kuwa ni members wa Freemason. Hakuna mtu mwenye ushahidi
kuwa Camp Mulla ni members wa Freemason).
2.Octopizzo

Maelezo
yanayomhusu yanaonekana kuwa mengi sana kama kawaida, ni moja kati ya
wasanii ambao tetesi za kuwa illuminate ni nyingi zaidi.
3.Nonini

Ukimtaja Nonini kama Illuminati lazima kitu serious zaidi kiandikwe ama ikielezwe. Nonini sio Illuminati (maoni ya mwandishi).
Hao
ndio waliandikwa na kutolewa maoni ama maelezo na muandishi wa mtandao
huo. Lakini tetesi huwa nyingi na kuongezeka mara kwa mara kwani hata
Avril pia huwa anatajwa kuwa Illuminati na kwamba kazi yake ni kueneza
usagaji nchini humo na eti sababu mojawapo ni mashairi ya wimbo wake
‘Chokoza’.
Haya yote yanasemwa tu, cha kufanya ni kile alichokisema Prof. Jay kwenye wimbo wake ‘Bongo Dar es Salaam’
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Wasanii
Monday, 8 September 2014