Habari Kali
Loading...

WIZARA YA AFYA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI DAR

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ,Dk.Vida Makundi Mmbaga, akijibu maswali ya wanahabari.
Waandishi wakifuatilia kwa umakini.
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris Mwamanja akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakipewa semina dhidi ya ugonjwa wa Ebola.
WIZARA ya afya imetoa semina elekezi  kwa wanahabari kuhusiana na ugonjwa wa Ebola. Semina hiyo yenye lengo la kuijuza jamii kuhusiana na ugonjwa wa Ebola,  imefanyika katika Hoteli ya New Africa, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya ugonjwa wa Ebola haujaingia nchini, na juhudi zinafanyika za kuhakikisha hauingii kwa kuweka vifaa na huduma katika viwanja vya ndege, mipaka na sehemu zingine zenye kuruhusu muingiliano wa watu wa mataifa mengine

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top