Takribani wiki sasa kumekuwa na
taarifa zinazoeleza kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu hayuko
sawa katika mahusiano yake ya kimapenzi na nguli wa Bongo
Fleva, Diamond Plutnumz….
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu na Wema, imefika mahali Wema anajuta kuwa na Diamond kwa sababu ya kuandikwa kwa mambo mengi yasiyo na ukweli na yanayomfedhehesha moyoni….
Rafiki huyo amedai kuwa mara kwa mara Wema amekuwa akijiuliza sababu ya kuandikwa taarifa mbalimbali zisizo na kichwa wala miguu ambapo mwisho wa yote hupata jibu ni kwa sababu ya kuwa na mahusiano na Diamond….
“Wakati mwingine anasema angelijua bora angebaki bachela kwani kuna kikundi cha watu hakipendi kumuona akiwa na Diamond hivyo kinafanya kazi ya kumzushia taarifa zisizoeleweka kila mara kwa lengo la kumshushia hadhi,” kimesema chanzo hicho
Mwandishi alipokiuliza chanzo hicho ni kwa kiasi gani Wema anamwamini Diamond kilisema:
“Ukweli ni kwamba Wema anampenda sana Diamond lakini hamwamini kwa sababu wakati mwingine taarifa zinazoandikwa magazeti hutolewa na Diamond mwenyewe, hali hiyo inampa wakati mgumu sana Wema kujua ashike wapi na wapi apaache,”
“Unajua Diamond haaminiki, unaweza kukuta Wema anagombana na watu kumbe mtoa taarifa ni Diamond mwenyewe.”

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >