Mwimbaji wa Tip Top Connection, TundaMan aliwashangaza wengi baada ya kueleza kuwa alipokea simu yenye namba nyingi asizozielewa na ghafla akapata mshtuko na kuishiwa nguvu, hali iliyomsababisha akimbizwe hospitali ambapo alipewa matibabu.
Licha ya kuwa wataalam na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)
walieleza wazi kuwa kitaalam simu haiwezi kabisa kuwa chanzo cha tatizo
hilo, TundaMan alisisitiza kuwa yeye ndiye aliyepata tatizo na anajua
kilichotokea.
“Wao wanasema haiwezekani kwa sababu hilo tatizo halikuwakuta…lakini
kwa kuwa mimi ndiye nimekuwa affected kwa siku mbili tatu, mimi naamini
kuwa tukio hilo lipo na limekuja baada ya kupokea ile simu. Wao
wanaongea kitaalam siwezi kubishana nao, lakini mimi limenikuta na
nimeona.” Amesema Tundaman
Kutokana na sintofahamu hiyo, Tundaman ameeleza kuwa msanii mwenzake,
Ali Kiba alimshauri kwenda katika nyumba ya ibada ili apate dua maalum.
“Yeah inawezekana (ni ushirikina) kwa sababu vitu kama hivyo huwa
vinatokea sana na ndio maana ndugu yangu Ali Kiba amenishauri nikapate
dua.” Amesema Tunda Man.
Ameeleza kuwa tayari amechukua uamuzi huo ingawa hali yake pia
inaendelea kuimarika baada ya kupata matibabu.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


