Habari Kali
Loading...

STEVE NYERERE: Bongo Bovie Hakuna Wanaume Mashoga, Wote Marijali

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Mwenyekiti wa Bongo Movie Tanzania Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa katika Tasnia ya filamu Tanzania hakuna muigizaji wa kiume mwenye tabia za kishoga,Steve amesema hayo leo alipokuwa katika kipindi cha Power Jams ya East Africa Radio leo alipokuwa akielezea changamoto alizokutana nazo wakati akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa sita mchana.
steve nyerere
Steve amewataka watanzania kuwa na uzalendo na kuthamini wasaniii wa nyumbani na kazi zao na sio kuwapakazia na kuwaharibia sifa zao kwa maneno machafu na kuwapakazia mambo yasiyokuwa na ukweli ndani yake,Steve alisema hayo pale alipokuwa akijibu swali la moja ya shabiki wa ukurasa wa Facebook wa EATV.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top