Mange
kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki
Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss
Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya
Diamond kufunguka kuwa Wema anapenda starehe na ana mashoga wapenda
anasa badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo.
Mange amesema kuwa anakubaliana na alichokisema Diamond. Mange ambaye yupo karibu na Wema ameandika .
“Mnajua
siku zote mimi huwa nakuwa upande wa Wema kwenye issue zake na DIAMOND,
Ila leo kwa mara ya kwanza nipo upande wa Shemeji.
“Wengi
wanalaumu kwanini Diamond aweke hiki kitu hadharani ni kama
anamdhalilisha Wema. Jamani nimesoma alichoandika huyu kaka what I can
say is he really and truely loves Wema ila Wema mwenyewe anaharibu.
“Yani you can see kabisa he wants the best for his woman ila woman mwenyewe doesn’t want the best for herself.
“Alichosema
Diamond ni kwamba yeye kama mwanaume anaweza kumsuport mwanamke wake
financially ila kama mwanamke mwenyewe hajisukumi yeye afanyeje sasa?
“Na
ameingia deep zaidi kaongelea issue ya mashoga, aisee ! ukiona mpaka
mwanaume ameongea hivi tena in public ujue yamemfika shingoni kaona
aongee tu.
“Tena
you know what this might eventually wake up Wema, ataona duh jamaa
kaniambia in private sijaelewa mpaka kaona aongee hadharani bora
nibadilike…..Yaani you can see the guy loves Wema soooo much ila kuna
vitu vinamboa sanaaaaa na anatamani ambadilishe kidogo.
“The
guy mpaka kasema amempa na mtaji wa kufanyia, which is true maana Wema
mwenyewe alisema kuwa ile movie(Family) aliyoifanya na Aunty juzi juzi
Diamond ndie alitoa mtaji. Hivi nini kingine kaka wa watu afanye muone
anampenda demu?
“Mimi
pia huwa mnanilaumua sana humu simwambii Wema hivi na vile, sijui nini.
Ni hivi I respect Wema’s privacy so siwezi kuongea hapa nachoongea nae
on a daily basis ili kujitetea kuwa jamani namwambiagaaaaa. Just know , I
do talk to her and advice her more than you think.”
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

