Kiungo wa Manchester City, David Silva akiifungia timu yake bao la kwanza katika dakika ya 39.
Patashika wakati wa mtanange huo.
Sergio Aguero akitupia kambani bao la pili la Manchester City katika dakika ya 90.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya England 'Premiership', Manchester
City leo wameanza vizuri msimu mpya kwa kutoa kichapo cha mabao 2-0
dhidi ya Newcastle. Mabao ya mabingwa hao yamewekwa kimiani na David
Silva dakika ya 39 na Sergio Aguero dakika ya 90 katika mechi hiyo
iliyopigwa Uwanja wa St James' Park nchini England leo. BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

