Habari Kali
Loading...

Lucy Komba aeleza Harusi yake itakavyokua na Idadi ya watu watakaouzulia, msikie hapa akifunguka

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Lucy KombaMWANADADA anayefanya vizuri katika filamu, Lucy Komba, amesema harusi yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni itakuwa ya kawaida sana ‘simple’ kuliko harusi nyingine za wasanii ambazo zimewahi kufanyika.
Akizungumza na safu hii, Komba alisema anafanya hivyo kutokana na mume anayemuoa kutotaka makuu, ambapo watu 300 wanatarajia kuhudhuria.
Kuhusu mipango ya harusi, alisema inaenda vizuri na tayari zaidi ya nusu ya aliowapa mwaliko wamethibitisha kuhudhuria.
Sherehe za harusi hiyo z itafanyikia ukumbi wa Makumbusho jijini Dar es Salaam.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top