Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada ya kuendelea kwa uvumi kuwa ndoa ya Lady Jaydee na Gadner G Habash imevunjika, muimbaji huyo amepost picha akionesha pete ya ndoa kwenye kidole chake.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook wa Lady Jaydee ameandika ujumba
tofauti na picha lakini mashabiki wake wameelewa kuwa ni ujumbe anaoutoa
kufuatia tetesi hizo.
“Kucha zimekosa rangi ya OriFlame tu, ili zing’ae
zaidi ya hapo,” ameandika Lady Jaydee.
Huu ni baadhi ya ujumbe kutoka kwa mashabiki wake.
Anna Julius
Tetea ndoa yako dada, achana na maneno ya wa2.
Saumu Kinqo
eee tumeona pete bado ipo kutofautiana kwenye ndoa ni jambo lakawaida mnayamaliza na maisha yanaendelea big up
John Sosteni
Assey Inamaana ndoa iko powa jide komaa wewe mkubwa bwana kunamambo mengi sana mnatufundisha
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


