BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Kuna wanaume wengi wamekuwa wakikosea kutongoza.Wapo wengine labda amempenda binti fulani lakini anashindwa cha kufanya.
Kuna wakati unaweza kukuta mwanaume anachokifanya anampa ofa mwanamke,mara anamwambia tukale na hata zawadi nyingine zinafuata.
Jambo lililo la msingi katika maisha yetu ni kuwa wazi,mtu aelewe nini hasa unachokitaka moyoni mwako si zaidi.
Wapo
ambao wanaogopa watu labda ni kwa sababu ni wazuri au wamesoma zaidi
yao,lakini mapenzi ni zaidi ya hayo,unaweza kuona mtu kweli anaonekana
yuko matawi ya juu jina tu,mapenzi hayana matawi ya juu wala ya chini
Ndo
maana unaweza kuona mama mtu mzima na heshima zake anajisalimisha kwa
kijana mdogo,au unaweza kuona mwanaume mtu mzima na hekima zake anafanya
ngona na mfanyakazi wa ndani,huenda akawa mchafu au hata
si wa kutamanisha kivile.
Mapenzi
ni suala pana,unaweza kujiremba ukifikiri ndo njia ya kumtamanisha
mwanaume,wapo wanaume wanachokipenda sio mwanamke ajirembe.
Unaweza kuvaa kimini na nguo yenye kuonyesha sehemu kubwa ya mwili wazi,wapo wanaume wenye kuchukia hilo.
Unaweza
kuvaa suruali ukifikiri ndio chaguo la wanaume,wapo ambao hawataki
kusikia mwanamke anayevaa suruali.Ninachotaka kusema ni kwamba watu
wametofautiana kwa namna ya mahitaji yao.
HATUA MUHIMU UNAPOFIKIRIA KUTONGOZA:
Jambo
la kwanza lililo la msingi ni kufahamu anachokipeanda yule unayetaka
kuanza kumfuatilia.Je ni mwenye kupenda hali gani,yuko makini au hayuko
makini
Furaha ya wanawake wengi ni kuwa na mwanaume ambaye anajiamini.
HATUA ZINGINE:
a)
Mguse bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha,mwambie du
umependeza;kama uko kwenye mazingira ambayo yanawezekana,Inashauriwa
kumgusa kama unataka kuuliza jambo fulani,Hili ni jambo la msingi kwani
kitaalamu linachangia kumjua mtu tabia yake na anavyoweza kukuchukulia
katika mambo mengine unayotaka kuyasema.
b) Wanaume wengi
wanakosea kwa kuomba namba za simu,lakini kitaalamu njia inayokubalika
ni wewe mwanaume kumpa namba yako huyo mwanamke ambaye unafikiria
kuanzisha mawasiliano nae kwa lengo kwamba mwisho wa siku awe mkeo.Au
wakati mwingine unaweza kumpa simu yako ili aandike namba yake.
c)
Kama mnaweza kupata muda,mkaribishe sehemu kwa ajili ya kuongea
zaidi.Mara nyingi usianzishe mazungumzo ya kumwambia mtu nataka
kuoa,hata kabla hamjakaa na kusomana hata kama kwa sekunde kadhaa.
Ni
aibu kuambiwa sikutaki au nina mwingine,lakini ukianza kwa
vitendo,unaweza kujua kama hapa kuna dalili au kuachana na kile
unachotaka kukisema.
Hata
katika maisha ni vizuri kuwa mwangalifu kabla ya kuamua kumtongoza
fulani na kukubaliana na fulani,pata muda wa kumchunguza kwani safari ya
ndoa ni ndefu,inahitaji kuwa na mtu ambaye kweli atakufaa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Saturday, 16 August 2014