hali
ya kushangaza na kusikitisha sana, kikongwe mmoja aitwaye Athuman
Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi
kwa sababu ya kukosa chakula cha kibinadamu, Uwazi limemvumbua.
Kikongwe
huyo alikutwa na gazeti hili hivi karibuni nyumbani kwake, Chanika
wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam baada ya majirani kusema kwamba
wamekuwa wakimshuhudia akipata mlo huo kwa karibu mwaka mmoja sasa.
Baada ya kuona hali yake inazidi kuwa mbaya, mjumbe wa eneo hilo, John Kanguya na majirani zake walimchukuwa hadi kwenye Kituo cha Afya cha Chanika kwa ajili ya kumpima afya yake ambapo madaktari walisema tayari alipatwa na ugonjwa wa safura ambapo tumbo lake limejaa minyoo.
Uwazi lilishuhudia sehemu kubwa ya ukuta wa nyumba anayoishi kikongwe huyo ikiwa imemeguka kwa ajili ya kuchimbuliwa na kuliwa.
Majirani walilieleza gazeti hili kwamba, nyumba anayoishi kikongwe huyo aliachiwa kuilinda na mtu aliyetajwa kwa jina moja la Musada karibu miaka 20 iliyopita bila kupewa huduma nyingine zikiwemo fedha.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Chanika, Mohamed Katungi akikabidhi msaada wa chakula kwa Bw. Athuman Kulaba.
Akizungumza
na Uwazi kwa lugha ya Kisukuma, kikongwe huyo alikiri kuwepo kwenye
nyumba hiyo kwa miaka 20. Alisema awali alikuwa akipewa pesa na tajiri
yake lakini baadaye utaratibu huo ukafa hivyo kwa sababu ya kukosa pesa
ya kujikumu ndiyo akaamua kula vyakula vya ajabu, ukiwemo udongo wa
ukuta wa nyumba hiyo.
Baada ya kuona hali yake inazidi kuwa mbaya, mjumbe wa eneo hilo, John Kanguya na majirani zake walimchukuwa hadi kwenye Kituo cha Afya cha Chanika kwa ajili ya kumpima afya yake ambapo madaktari walisema tayari alipatwa na ugonjwa wa safura ambapo tumbo lake limejaa minyoo.
Uwazi lilishuhudia sehemu kubwa ya ukuta wa nyumba anayoishi kikongwe huyo ikiwa imemeguka kwa ajili ya kuchimbuliwa na kuliwa.
Majirani walilieleza gazeti hili kwamba, nyumba anayoishi kikongwe huyo aliachiwa kuilinda na mtu aliyetajwa kwa jina moja la Musada karibu miaka 20 iliyopita bila kupewa huduma nyingine zikiwemo fedha.
Kwa Watanzania watakaoguswa na maisha magumu ya mzee huyo wanaweza kumsaidia nauli kwa kutumia namba ya simu ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Chanika, Mohamed Katungi 0784 295833 au 0715 295833
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >