hali
ya kushangaza watu mbalimbali ambao ni mashabiki wa msanii wa filamu,
Wema Sepetu walizingira gari la staa huyo huku wakimuamuru ashuke ili
akaungane na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Tukio hilo lilitokea Jumatano hii maeneo ya Sinza-Mori, jijini Dar ambapo ndipo kulikuwa kikomo cha msafara uliokwenda kumpokea Diamond Uwanja wa Ndege Julius Nyere, Dar baada ya kutua akitokea kwenye tuzo za Afrimma, mashabiki hao walilizingira gari la mwanadada huyo huku wakimtaka Wema atoke ndani ya gari akapande kwenye gari alilokuwepo mpenzi wake huyo, wapigwe picha lakini hakushuka.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >