Habari Kali
Loading...

FAHAMU MAANA YA KIKUKU KUVALIWA MIGUUNI HAPA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

vikuku ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kupendezesha kiungo kama kuvaa cheni shingoni, helen sikioni, pete kidoleni, bangili mkononi, kipini puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni hawasemi?? kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya, mimi nafikiri ni fikra za watu tena fikra potofu,
mimi napenda sana na ninavaa, siku nikivaa gold heleni na cheni basi napiga kikuku cha gold siku nikivaa silver heleni na cheni napiga kikuku cha silver siku niamua kuvaa culture, basi hata kikuku kinakuwa culture yote hiyo ni kupendezesha mwili wangu kama mwanamke.

tukiangalia ktk kabila la wamasai, hadi wanaume nao wanavaa tena ni wote, sasa je nao wale wote wanatumia tigo????? acheni fikra potofu watanzania, lile ni pambo msilitafsiri kiviile.

Lakini mtaani wanasema ni  biashara ukivalia kulia straight ila hautoi tigo , kushoto tigo posibility and miguu yote anything goes

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top