Habari Kali
Loading...

CHUPUCHUPU BASI KUUA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Toyota Coster 'Daladala'  inayofanya kazi kutoka Buguruni na Temeke likiwa mtaroni baada ya kugongwa na Scania (haipo pichani) ajali hiyo chupuchupu kuua watu na ikawaacha baadhi majeruhi.
Wananchi wakisadia kuondoa daladala kwenye mtaro.Askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ akimhoji konda wa daladala hiyo ambaye amejeruhiwa kichwani.
Lori kubwa aina ya Scania yenye namba za usajili T937 AAP iliyosababisha ajali.
Ajali mbaya imetokea eneo la Matumbi, Barabara ya Mandela leo na  imesababishwa na lori kubwa aina ya scania lililokuwa likitokea maeneo ya Ubungo na kuelekea  Buguruni. Lilipofika kona ya Matumbi lilipoteza muelekeo na kugonga kwa nyuma gari la abiria (daladala) na kufanya gari hilo litumbukie  mtaroni na kusababisha watu kuumia akiwemo konda wa daladala hilo.
Kwa mujibu wa mashahidi, ajali hiyo imesababishwa na mwendo kasi wa lori hilo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top