Katika boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf na kumrudisha Ni
tajiri namba moja duniani mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79.2
hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si kitu kinachoweza
kumpunguzia chochote Bill Gates.Na ndio maana Bill Gates yupo mapumzikoni ambayo tunategemea kwa mtu tajiri zaidi duniani ayafanye.
The Serene Gates yupo kwenye boti hiyo kubwa na mke wake Melinda na watoto wake Rory, Jennifer na Phoebe nchini Italia. Mwanzilishi
huyo wa Microsoft ameamua kupumzika kwa kukodi yacht hiyo iitwayo The
Serene yenye ukubwa wa futi 436 inayomilikiwa Yuri Scheffler. 
Muonekano wa sehemu moja wapo ya ndani
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

