mume
aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi wa
Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis
kwamba amempa mimba mbwa yameibuka mapya, Uwazi limeyanyaka.
WAGOMA MBWA KUUAWA
Jingine jipya lililotua Uwazi linadai kuwa, baadhi ya majirani wa nyumbani kwa Hamis wamegoma mbwa huyo kuuawa baada ya wengine kutaka kufanya hivyo wakisema hali hiyo itaweza kusababisha mdaiwa huyo kufanya matukio mengine nje ya nyumba yake.
MENGINE TENA
Ijumaa
iliyopita, Uwazi lilifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za
Wanyama ambapo mmoja wa maofisa aliyedai si msemaji maalum, alisema
wapo katika mchakato wa kufuatilia madai ya mke wa mtuhumiwa huyo kisha
kumpandisha mahakamani kujibu mashitaka ya kumdhalilisha mnyama huyo.
Mbwa anayedaiwa kupewa mimba na Bw. Hamis Juma.
“Sisi
ishu yetu si kufuatilia kama kweli amempa mimba bali ni kujiridhisha
kama kweli yule mzee ametembea na mbwa hilo linatosha kabisa kumfikisha
kortini,” alisema afisa huyo na kuomba jina lake lisichapishwe
gazetini.WAGOMA MBWA KUUAWA
Jingine jipya lililotua Uwazi linadai kuwa, baadhi ya majirani wa nyumbani kwa Hamis wamegoma mbwa huyo kuuawa baada ya wengine kutaka kufanya hivyo wakisema hali hiyo itaweza kusababisha mdaiwa huyo kufanya matukio mengine nje ya nyumba yake.
Katika hatua nyingine, Uwazi limebaini kuwa, kumbe mwanaume huyo ana sakata lingine ambapo ana kesi kwenye Mahakama ya Mwanzo Ukonga jijini Dar akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia fujo jirani yake.
Kwa mujibu wa taarifa za kimahakama, ilidaiwa kuwa Hamis alifika nyumbani kwa Alanus Haule ambaye ni jirani yake saa saba usiku wa siku ya tukio akiwa na silaha za kienyeji na chepe akiwa amelewa na kuanza kumtolea maneno ya vitisho huku akijua ni kosa kisheria chini ya kifungu cha sheria 89 (1) B CAP 16.
Kesi hiyo yenye No 873/2014 ambayo inasikilizwa na Hakimu Mwandamizi, Raia Omary kwa mara ya mwisho ilisikilizwa Julai 3, mwaka huu na kuahirishwa hadi Septemba 11, mwaka huu na yuko nje kwa dhamana.
Habari hii kuhusu Hamis Juma kudaiwa kumpa mimba mbwa, kwa mara ya kwanza ilitoka katika gazeti hili toleo namba 854 la Agosti 5-11, 2014 ambapo kichwa cha habari kilisomeka ‘MUME WANGU KAMPA MIMBA MBWA.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

