BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

ACHA KUPENDA KUTUHUMU,FANYA UTAFITI UWE NA UHAKIKA.
Hakika
kwenye ndoa au mahusiano kuna mambo mengi ya kujifunza,mojawapo ni
kwamba watu wengi wanapenda sana kutuhumu.Mtu hana uhakika,lakini
anasema kwa nguvu zote kwamba hiki kiko hivi......kwa namna anavyoongea unaweza kufikiri kwamba anao ushahidi,kunbe hana hata tone.
Anaweza
labda akamwona mwenzi wake anaongea kwenye simu au anachati na mtu,hana
uhakika anasema kwamba "aaah najua unachati na wanaume au wanawake
zako!" Ni kweli inaweza kuwepo ishara zinazosababisha mtu akahisi,lakini
ni vizuri zaidi kupata uhakika.
Wapo wanawake,kwamba mwanaume
akichelewa kurudi nyumbani,anachojua yeye ni kwamba mwanaume amechelewa
kwa wanawake akifanya nao ngono,wakati mwingine mwanaume anaweza
asipende kuwahi nyunbani kutokana na mazingira ambayo anatengenezewa
hapo nyumbani,kwa mfano akawa hapokewi vizuri na kadhalika.
Pia kuna
wanawake wengine wana maneno makali na machafu;kuna wanawake wana maneno
ya dharai mno kwa waume zao,hasa pale ambapo labda mume anapokuwa
anarudi nyumbani akiwa hana kitu.Furaha ya wanawake wengi ni kuona
mwanaune anakuwa ana fedha,arudi nyunbani na zawadi,au fedha,atapewa
chochote anachotaka,ndivyo ilivyo kwa wanawake wengi.
Ninachotaka
kusititiza hapa ni kwamba si vizuri kupenda kutuhumu ukiwa huna
uhakika.Mwanamke au mwanaume hauna uhakika naye kwamba anafanya ngono na
fulani kisha unamtuhumu kwamba anafanya naye,kwa ambaye akili yake
haijatulia,anaweza kusema bora sasa kufanya kweli.
Pia katika ndoa au
mahusiano mengi watu wamekuwa maarufu sana wa kutaka mazuri kwa wenzi
wao,lakini wao hawana muda wa kufanya mazuri.Ni kwamba baada ya mumeo
kurejea kutoka kazini au kokote,jitahidi kumpokea katika hali nzuri kwa
maana kwamba onyesha sura ya uchangamfu,zaidi ya yote hakikisha unakuwa
mwenye kuvutia kuanzia mavazi na mwili wako kwa ujumla hasa unatakiwa
kuoga na kutumia manukato mazuri.
*unatakiwa utambue kwamba
unapokutana na mumeo kwa mara ya kwanza akitokea katika mihangaiko ya
maisha au safarini,anza kwanza kwa habari nzuri....baada ya muda akiwa
ametulia ndipo uanze kumwambia habari mbaya Maana kuna wengine utasikia
wanawapokea waume zao kwa habari mbaya "mfanyakazi wa ndani leo
amenikwaza sana,nimemtuma maji kaniambia kachoka...kanikwaza sana
natamani atoke" Ndugu yangu ni vyema kuwa na hekima kwa kuangalia maneno
gani ya kuanza nayo...matatizo yapo,kwa maana hiyo unapaswa kuyafahamu
na kuchukua hatua za maana.Ni vizuri kumpokea mumeo kwa maneno yaliyojaa
upendo,mapenzi na shauku ya kuwa pamoja nae.
*Jambo lingine ambalo
wanawake wengi wanakosea ni kuhusu chakula..wengi huwa wanapika
wanavyotaka wao..wala hana muda wa kumuuliza mumewe leo ungependa nipike
nini.Ndugu yangu nje ya kutayarisha kwa wakati,pia unapaswa kupika
chakula kwa wakati.
Lingine la msingi,acha kutumia kauli za hasira
kama walivyo baadhi ya wanawake,maana ukiuliza hiki utaambiwa kwa ukali
au kwa mkato.
MAMBO MENGINE YA MSINGI.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Sunday, 17 August 2014