Katika watu maarufu hapa Bongo ambao wako very open inapokuja swala zima la mahusiano, iwe rafiki wa karibu au mpenzi wa moyo, basi jina la Wema Sepetu liwekwe on top of that list, ni moja kati ya watu ambao hawawezi kuzuia hisia zake, haijalishi yupo hadhara gani. Tumeona jinsi alivyo open kuzungumzia siku zote mapenzi yake kwa Diamond Platnumz, hata pale walipokuwa wameachana, kama ni drunk in love basi basi we muuliza Wema ni nini haswa maana yake. Basi ukiachana na Diamond Platnum ambaye sasa ndiye mmiliki halisi wa Diva huyo ambaye ni gumzo katika media mbalimbali hapa Bongo, hii ndio list ya wanaume ambao waliwahi kubambwa katika kipindi tofauti wakifaidi mabusu ya Wema Sepetu;
Mwinyi: Huyu ni rapper maarufu wa Machozi band, inasemekana walishawahi kutoka pamoja, na mwinyi ndiye aliyewahi kumvalisha pete ya uchumba,tena mbele ya kadamnasi, akiwa stejini kazini.
Unkown:haikujulikana mapema jina lake halisi, ni mmoja kati ya wanaume waliowahi kubambwa wakifaidi mabusu ya Wema.
Tbway: jina lake halisi ni Tonny Albert, ni mtangazaji wa kipindi cha 5select kinachorushwa na EATV, dont get it twisted,hapa Wema alikuwa ana-show tu love kwa jinsi anavyokubali kazi za huyu presenter maarufu.
Romyjones: huyu ni Dj na pia ni ndugu yake kabisa Diamond Platnumz, Wema anamuita Romy shemeji, sidhani kama kuna ubaya wa kumbusu shemeji mara moja moja, basi hapa Wema naye hakuona noma, kumpa hata busu shemejie.
Martin Kadinda: akiwa ndiye manager wake Wema Sepetu, pia Martin ni mtu wa karibu sana wa Wema, mara nyingi huoneka pamoja katika sehemu tofauti, hii moja ilionekana kule istagram akipozz, huku Martin akimbusu Wema Sepetu, kishkaji tu.
Chaz Baba: Enzi hizo za mwalimu, wakati Wema Sepetu akiwa ameshadondoka kimapenzi kwa Chaz baba, alionekana akijiachia kila apatapo nafasi, hata hivyo baadae walikuja kuachana, ndipo Diamond Platnumz alipoingia na kufanikiwa kumficha kabisa mtoto, hadi hii leo.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

