Katika
kile kinachoonyesha kuwa ni kukubalika kwa ngoma za kibongo ni pale
ambapo wazung walionyesha kuikubali ngoma ya mdogomdogo ya diamond na
kucheza kiustadi kubwa kama vile

wanajua kinachozungumziwa, hii nliktana nayo maisha club dodoma upande wa vip ambapo ilipopigwa ngoma hiyo ya diamond wazungu ambao wengi ndio wanakuwa upande wa VIP walipiga kelele huku wakiiga staili ya kucheza nyimbo ya mdogomdogo, pia wakijaribu kutamka maneno mawili matatu japo kwa shida,

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >