Habari Kali
Loading...

VIDEO: Mume wa DIDA afunguka kuhusu sababu iliyofanya ndoa yao kuvunjika

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe, Ezden Jumanne siku ya harusi yao.
Baada ya ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne amefunguka mengi kuhusu sababu za kuvunjika ndoa hiyo. Ili kujua ni nini amezungumza, ungana na Global TV Online na soma magazeti ya GPL Jumatano ya Julai 2, 2014 kupata uhondo kamili!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top