MSHAMBULIAJI
Alvaro Negredo atakuwa nje ya Uwanja kwa miezi mitatu baada ya kuumia
kikanyagio cha mguu wa kuli katika mchezo wa kirafiki baina ya
Manchester City na Hearts.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 28 amethibitisha taarifa za kuumia kwake kwa
kuposti picha ya mguu wake ukiwa umefungwa kizuio, lakini amesema
atarajea akiwa ana nguvu kuliko alivyowahi kuwa daima.
"Nataka
ujue kwamba itakuwa ngumu kwa miezi michache ijayo," ameposti.
"Nimevunjika mguu na nitakuwa nje kwa miezi michache. Nitarudi mwenye
nguvu kuliko daima,".
Nje: Mshambuliaji wa Manchester City, Alvaro Negredo atakuwa nje kwa miezi mitatu baada ya kikanyagio kuvunjika mguu
Mguu wa Negredo alivyouposti kuthibitisha kuumia kwake
Pamoja
na hayo, mchezaji huyo anayekwenda kwa jina la utani 'The Beast'
amesema anafurahia City na hana mpango wa kuwahama mabingwa hao wa Ligi
Kuu ya England.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


