Binti huyo aliyekuwa akifanya kazi za ndani ‘hausigeli,’ alidaiwa kuteswa na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Yasinta Rwechungura, mkazi wa Boko Magengeni jijini Dar ambaye alifikishwa kwenye Makahama ya Wilaya Kinondoni, Dar kwa madai ya kumtesa mtoto huyo na kumsababishia majeraha.
Kutoroshwa kwa binti huyo kunadaiwa kutokea wiki chache baada ya binti huyo kumaliza matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar alipokuwa akiuguza majeraha.
Chanzo cha ndani kinadai kuwa mara baada ya mtoto huyo kuruhusiwa kutoka hospitalini, alikutana na baba yake aliyefika jijini Dar kutokea Kagera kwa ajili ya kusikiliza kesi ya mwanaye na kuanzia hapo mtoto huyo hajaonekana tena hali iliyotafsiriwa kuwa ametoroshwa.
....akionyesha majeraha aliyoyapata.
Wakizungumza
na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita, wanaharakati
waliojitambulisha kwa jina la Wanawake Katika Juhudi za Kimaendeleo
walisema walibaini kuwa mtoto huyo ametoroshwa baada ya kumtafuta kwa
muda mrefu ambapo waliwasiliana na ndugu zake ambao walisema Melina yupo
Kagera na alipelekwa na baba yake.“Tulipowasiliana na ndugu zake walisema Melina yupo kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera na tulipowauliza kwa nini amesafirishwa kimyakimya bila kuwahusisha wanaharakati, walisema kuna makubaliano yalifanyika,” alisema mmoja wa wanaharakati hao.
Kesi ya bosi wa Melina ilitajwa mara ya mwisho Julai 11, mwaka huu huku ikitarajiwa kusikilizwa tena Julai 29, mwaka huu katika mahakama hiyo.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

