Ni
kwa muda mrefu sasa kumekuwa na taarifa za Diamond kujihusisha na
biashara hiyo hasa kutokana na ukaribu wake na wfanya biashara wakubwa
wa dawa za kulevya wenye maskani yao nchini Afrika Kusini. Taarifa zaidi
zinasema ni wafanyabiashara hao waliohusika kwa karibu kuusafirisha
mwili wa marehemu Albert Mangwair, aliyefia huko huko Afrika Kusini
ambaye taarifa za kifo chake ziligubikwa na matumizi ya madawa ya
kulevya.

Akikanusha
taarifa hizo Diamond alisema “ni kweli mimi nina pesa za kutosha
kuniwezesha kuishi maisha ninayotaka lakini sijawahi kujihusisha na
biashara hiyo. Kufanya kazi kwa bidii kunalipa na kazi yangu inaonekana
na ndiyo inayoniwezesha kuwa na fedha ambazo leo watu wameanza kuzitilia
shaka. Sielewi nia ya watu hawa ni nini?”
Taarifa
za Diamond kuhusishwa na mtandao huu zimeanza kushika kasi kufuatia
miongoni mwa watu wake wa karibu kuonekana wakiwa karibu sana na akina
Agnes Gerald “Masogange” (25) na Melisa Edward (24) kwenye uwanja wa
kimataifa wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere wa Dar es Salaam kabla
hawajapanda ndege kuelekea Afrika Kusini ambako walikamatwa
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

