Gari la Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka likiwa katika kituo cha polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya kugonga punda
Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kugonga mnyama punda katika kijiji cha Wendele Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga
Walioshuhudia tukio hilo walisema lilitokea jana majira ya saa 11 jioni ambapo lenye namba za usajili STK 5857mali ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi lililokuwa likiendeshwa na dereva Linusi Eliasi (42) liligonga
mnyama punda aliyekatiza ghafla barabarani.
Akizugumza na Malunde1 blog mkuu wa wilaya ya Kahama ndugu Benson Mpesya amethibitisha kutokea ajali hiyo na kuongeza kuwa waziri Tibaijuka alipata mshtuko baada ya ajali hiyo na ofisi ya mkuu wa wilaya Kahama ilimpatia usafiri mwingine kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya bunge kufuatia gari lake kuharibika.
Hata
hivyo mkuu huyo wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya amesema waziri
Tibaijuka hakuumia katika ajali hiyo na leo ameendelea na vikao vya
bunge mkoani Dodoma.
Akielezea zaidi kuhusu ajali hiyo kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga Kihenya Kihenya amesema Waziri Tibaijuka alikuwa na baadhi ya wanafamilia wake katika gari hilo wakitoka Bukoba kwenda Dodoma kwa ajili ya kuwahi shughuli za Bunge zinazoendelea.
Kamanda Kihenya amesema baada ya kufika katika eneo hilo alikatisha punda katikati ya barabara na katika harakati za dereva kumkwepa ndipo gari hilo lilipomgonga na kisha mnyama huyo kufa papo hapo.Kihenya alisema kuwa katika ajali hiyo hakuna mtu aliyeumia ila kuna baadhi ya watu waliopata majeraha madogo madogo ikiwa ni pamoja na waziri huyo aliyepata mshtuko kidogo lakini baadaye hali yake iliendelea vizuri.Hata hivyo katika hali ya mshangao wa watu waliomiminika katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kwa ajili ya kumjulia hali waziri na kumpa pole lakini Waziri huyo na msafara wake walikuwa wakipatiwa matibabu na wauguzi katika Hoteli moja iliyopo pembeni mwa hospitali ya Wilaya Kahama.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >