Habari Kali
Loading...

UZEE MWISHO CHALINZE: MZEE MAGALI KUHUSU YEYE KUITWA MZEE, ADAI BADO DAMU YAKE INACHEMKA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Msanii  wa  filamu anayeweza kushika kipande chochote na kufanya vizuri, Charles Magali  maarufu  kama  Mzee Magali  amesema  yeye  si  mzee  bali  anatumia  jina  hilo  kwenye  sanaa  na  bado  ana  nguvu  kama  za  miaka  20  iliyopita.....
Alisema  kuwa  wapo  vijana  ambao  wanaonekana  ni  wabichi  lakini  hawana  nguvu  kama  zake, hivyo  hawawezi  kujifananisha  naye  hata  kidogo, ingawa kwa upande wake anatunza heshima kutokana na  kuwa   na   familia ....


"Ndani ya tasnia  yoyote  hakuna mzee, mimi naweza kushika pati  yoyote na nikaifanya vizuri. Kwenye maisha ya kawaida wapo vijana wa miaka 20 lakini  hawana nguvu, wamechoka na hawawezi kujifananisha  na  mimi," alisema

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top