Katika
hali isiyo ya kawaida Diamond Platnumz azidi kutokewa na bahati kila
siku, ila kwa hili si bahati tu,ila ni zaidi ya bahati cause haijawahi
kutoke kwa mwanamuziki yeyote mwingine hapa east africa.Story
nzim ilikuwa hivi;Mapema alhamisi ya wiki hii Diamond platnumz
alikutana na manager wa televisheni ya kimataifa ya Channel O, Diamond
akiwa anahojiwa na kipindi kimoja cha redio alizidi kufunguka zaidi na
kusema , alipokutana na manager huyo, alipata nafasi ya kumuonyesha
video yake mpya aliyoifanya huko uingereza, ile kuiona tu hakuamini kuwa
kuna vitu adimu kama hivi huku
east africa, na kumuomba Diamond hapo hapo aweze kumpa uwezo wa
kuicheza exclusive (kwa mara ya kwanza) video hiyo Channel O, Diamond
aliona kama utani hivi ila bada ya kuongea na producer wa video hiyo,
ambaye ndiye aliyeitengeneza video yake ya my number one remix aitwaye
Clarence, alimpa meneja huyo wa Channel O na baada ya muda, alishtuka
kuona watu wakimtumia ujumbe kumpa hongera kutokana na video hiyo jinsi
ilivyo kali baada ya kupigwa Channel O.
“Ilikuwa tuitoe officialy kwenye media baada ya tuzo hizi kuisha na tulisubiri muda mzuri wa kuachia video hiyo, ila imetokea kama bahati ya kuombwa video hiyo kupigwa exclusive katika channel O, cause walisema lete tuipige kipindi hiki, tuonyeshe vipaji vilivyotok east africa, na nashukuru kwa hilo, ila naona officialy hivi karibuni itabidi niitoe pamoja na nyimbo yake”- alimalizia Diamond Platnumz ambaye kwa hivi sasa yupo huko jijini Durban, katika matayarisho ya Tuzo za Mtv MAMA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >