Habari Kali
Loading...

R.O.M.A, MO MUSIC, TUNDA MAN WAANGUSHA BONGE LA SHOO COCO

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mo Music akiwa na madensa wake wakianzisha shoo.
Tunda Man akifanya yake jukwaani.
R.O.M.A akikamilisha shoo kwa mzuka wa nguvu.
Tunda Man akiwa amemkaribisha kwa muda mtaalam wa midundo ya mtaani, Msaga Sumu.
Mo Music akionesha utundu wa ‘kuvunja’ mapigo ya muziki.
Tunda Man na Msaga Sumu wakiamsha morari ya mashabiki.
R.O.M.A akionesha ufundi wa kucheza na maneno mbele ya mashabiki wake.
WASANII wanaokimbiza Bongo, R.O.M.A, Mo Music na Tunda Man jana wameangusha bonge la shoo katika fukwe za Coco Beach, jijini Dar.
Shoo hiyo iliandaliwa na Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Redio Times FM ambayo ilikuwa na lengo la kutangaza bidhaa za Zantel na kuwaburudisha mashabiki wa burudani Bongo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top