Kila
mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi
huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi
kaanguka na ungo.
Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.
Amedai
walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine waliosema
kuwa ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo ya
hospitali ya sekoutoure akiranda randa.
Mpaka
naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada kutokana
na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka apigwe
kwa madai ni mchawi.
Hapa chini ni baadhi ya picha zake.
Akiongea huku akichorachora chini.
Akihojiwa na watu
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >






