Msanii
Shetta wa bongofleva anaemiliki mawimbi na single yake ya ‘kerewa’ ft.
Diamond Platnumz….. amechora tatoo tano kwenye mwili wake kutokana na
mambo yake muhimu maishani.
Tatoo moja ameandika ‘muziki ni maisha yangu’ huku maneno yakiwa ndani ya gitaa kwa sababu za msingi kwamba kiukweli muziki ndio umemtoa yeye kwenye maisha yake hata kama kuna biashara nyingine anafanya, zimetokana na muziki.
Tatoo ya pili ni kama kikaratasi ambacho ndani yake kuna maneno yanayomuhusu Mama yake mzazi ambae sasa ni marehemu ‘Rest in peace mama 1973-2006′
Tatoo moja ameandika ‘muziki ni maisha yangu’ huku maneno yakiwa ndani ya gitaa kwa sababu za msingi kwamba kiukweli muziki ndio umemtoa yeye kwenye maisha yake hata kama kuna biashara nyingine anafanya, zimetokana na muziki.
Tatoo ya tatu ina alama ya muziki juu ya bega, kuna nyingine kama drip alafu sindano yake ni kama waya wa mic…
Tatoo nne zote amechora kwenye mkono mmoja wa kushoto amezichora South Africa wiki kadhaa zilizopita na moja iliyobaki aliichorea hapa Tanzania Sinza Dar es salaam ambayo ameiandika jina la mtoto wake wa kwanza na pekee aitwae Qayllah.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >