Wakizungumza na mwanahabari wetu kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema kuwa Shiole aliwahi kusema kuwa yeye huwa anaacha wanaume na hajawahi kuachwa hivyo kitendo cha Mziwanda kudatishwa na penzi la msanii huyo, siku akitemwa atatamani kuikata miguu yake aliyoichora neno 'shishibaby' aliyodai haiwezi kufutika maisha yake yote.
''Kijana kashikwa pabaya na shishi baby wake, ngoja tuone hii muvi nayo itaishia wapi maana shilole alishawahi kusema yeye ameshawazoea kuacha na si kuachwa hivyo penzi lao likiingia dosali atatemwa na kubaki na majuto ya kuwa na tattoo hizo'' alisema mdau mmoja huku akigoma kuanikwa jina lake.
Mdau Mwingine alisema ni kweli kwa sasa anaweza kuona sifa kuwa na alama hizo kwa sababu penzi lao bado liko moto lakini atambue mapenzi huwa yanachuja na kama watu wako nje ya ndoa kuachana huwa si jambo gumu na kila mmoja kuanza maisha yake mapya.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



